Yapata miaka 9 sasa tangu nivunje ungo wengi wanasimulia raha ya mapenzi lakini kwangu ni kama giza
Ingawa natamani sana kufanya mapenzi ila naogopa kwa kuwa sijawahi jaribu hata siku moja
naogopa sana kwani kuna watu wanasema nitapatwa na maumivu makali
nipeni ushauri jamani .
EmoticonEmoticon