Ili kuwa na mapenzi ya ukweli kwa MTU unayemjali na kumthamini inatakiwa kuwa mkweli katika mambo yako .usipende kuweka vificho katika kila jambo unalofanya.mfano sema ukweli sehemu ambayo upo wala hakuna sababu ya kumdangaya mwenzi wako.
WELCOME FOR UPDATES
EmoticonEmoticon