Je wajua kuwa staa kwa kibongo Diamond alikuwa uso kwa uso na watoto wengine wa zari? Tazama picha hizi
tazama picha upate kujua undani wa familia ya mwamuziki wa bongo flava anayetamba na wimbo wake mpya wa UTANIPENDA
WAJUE WASANII WA KIKE WENYE MASHABIKI WENGI SOKONI KWA SASA
WASANII WA KIKE WENYE MASHABIKI WENGI SOKONI
Staa wa sinema za Kibongo, Jenifer Kyaka 'Odama'
Hawa ni miongoni mwa wasanii watatu wa kike, ambao wanafanya vizuri katika tasnia ya filamu hapa nchini Tanzania kwa utengenezaji bora wa filamu hizo na zenye kuvutia mashabiki hasa katika uuzwaji wa filamu zao hii inawafanya waendelee kuwa bora kila mwaka katika soko la filamu kutokana na ubunifu na mbinu mbalimbali katika utengenezwaji wa filamu zao .
Msanii wa Filamu za Bongo, Riyama Ally
Wasanii hawa wamejizolea umahiri huo kutoka kwa mashabiki wao kwa kuwavuta kihisia kutokana na madhari wanazokuwa wakifanyia filamu zao.
Hii imedhiilika mwaka huu kwani hawana tatizo na watu kwani wao wanawaza kufanya kazi zao kiufanisi zaidi.
Msanii wa Filamu za Bongo, Shamsa Ford