BADO UNATATIZO LA NGUVU ZA KIUME, AU NI MPENZI WAKO,AU NI NDUGU YAKO BASI SOMA MAKALA HIII


Jua tatizo la nguvu za kiume Leo katika zama hizi za sayansi na teknolojia tatizo la kupungua nguvu za kiume limekuwa kubwa sana, siyo Tanzania tu, bali duniani kote. Jambo muhimu analopaswa mwanaume yeyote kufahamu ni kwamba, kupungua nguvu za kiume siyo ugonjwa, ni dalili ya ugonjwa. Hii ina maana kuna dosari au udhaifu wa kiutendaji ndani ya mwili wake. Kuna sababu zaidi ya 200 zinazosababisha mwanaume apungue nguvu za kiume. Mtu aweza kujiuliza kwa nini kuwe na sababu nyingi namna hiyo? Nguvu za kiume ni nini? Nguvu za kiume ni jina la jumla lenye vipengele vingi ndani yake ikiwa ni pamoja na

Kategori

Kategori