MAOMBI KATIKA UCHAGUZI MKUU 2015.

Na mwandishi wetu:Jack Kitivo

kwa jinsi kampeni mwaka huu zilivyo nilazima tuombee taifa tazama.......


duuuuu  ukawa imetishaa


Ikiwa zimebaki siku  chache kuelekea  uchaguzi mkuu  wa Raising,wabunge na madiwani basi  kila mmoja kwa mda wake na  imani take spate muda wa kuombea uchaguzi ili tuwapate viongozi watakao tuongoza katika misingi ya haki na utawala bora . kwa kuwa tumesikia Sera za wagombea ni wakati sasa wa kufanya maamuzi sahihi.usidanganywe  wala kushawishiwa na MTU kumchagua kiongozi kwa matakwa yake,au maslahi yake binafsi.waswahili wanasema "KIPENDA ROHO HULA NYAMA MBICHI"
kwa pamoja tushirikiane kutii  sharia za uchaguzi kwani tukumbuke kuwa sheria ni msumeno  hukata huku na huku huku.
Pia ndugu zangu tukumbuke kuwa baada ya uchaguzi maisha yanaendelea  chonde  sitapenda kuona wengine wanasherekea ushindi  wa wagombea wao na we we unaandamwa na kesi ya kujibu. Tii sheria bila shuruti. To get her we can .let us pray for this election. Iwish all the best in this unique oppatunity to elect ( to vote) for our leader  this is the best way of  practicing the real democracy.
NB usimzuie mwenzio kwenda kupiga kura wala usimtishie kwani kupiga kura kwa MTU mwenye sifa ni haki yake  ya kikatiba.
MUNGU IBARIKI TANZANIA
MUNGU BARIKI UCHAGIZI MKUU


EmoticonEmoticon