Suala la busu linaumuhimu sana katika suala zima la mapenzi.hata hivyo ni vyema kujua aina za busu na maana yake. unaweza kumpoteza mpenzi wako kwa sababu tuu hajaridhika na busu unayompa, kwakuwa busu inaraha yake hasa ukimpata anaye ijulia HASWAA MAKALA ILIYOPITA NILIELEZA AINA YA BUSU NA SEHEMU HUSIKA YA KUPIGA HIYO BUSU
LEO ONA JINSI YA BUSU ZENYE MSISIMKO ZILIVYO>>>>