Showing posts with label MAPENZI. Show all posts
Showing posts with label MAPENZI. Show all posts

BADO UNATATIZO LA NGUVU ZA KIUME, AU NI MPENZI WAKO,AU NI NDUGU YAKO BASI SOMA MAKALA HIII


Jua tatizo la nguvu za kiume Leo katika zama hizi za sayansi na teknolojia tatizo la kupungua nguvu za kiume limekuwa kubwa sana, siyo Tanzania tu, bali duniani kote. Jambo muhimu analopaswa mwanaume yeyote kufahamu ni kwamba, kupungua nguvu za kiume siyo ugonjwa, ni dalili ya ugonjwa. Hii ina maana kuna dosari au udhaifu wa kiutendaji ndani ya mwili wake. Kuna sababu zaidi ya 200 zinazosababisha mwanaume apungue nguvu za kiume. Mtu aweza kujiuliza kwa nini kuwe na sababu nyingi namna hiyo? Nguvu za kiume ni nini? Nguvu za kiume ni jina la jumla lenye vipengele vingi ndani yake ikiwa ni pamoja na
WEMA SEPETU AMPIGIA SALUTI DIAMOND KWA WIMBO WAKE MPYA WA UTANIPENDA

WEMA SEPETU AMPIGIA SALUTI DIAMOND KWA WIMBO WAKE MPYA WA UTANIPENDA


Wema ampigia saluti Diamond

Wema Sepetu ‘Madam’

MTOTO mzuri Bongo Movies, Wema Sepetu ‘Madam’ ameonesha kumpigia saluti mpenzi wake wa zamani, Nasibu Abdul ‘Diamond’ baada ya kuguswa na ubora wa wimbo wake mpya uitwao Utanipenda kwa kuposti video mtandaoni ikimuonesha akiuimba wimbo huo.

Nasibu Abdul ‘Diamond’.

Kwenye video hiyo, Madam anaonekana akiwa na shosti wake mwigizaji Aunt Ezekiel wakiimba wimbo huo kwa staili ya kupokezana huku wakiwa wamejilaza kitandani.


Mmoja wa marafiki wa Madam aliyeiona video hiyo, alisema zilipendwa huyo wa Diamond amejirekodi video hiyo kwani ameukubali na unagusa hisia za kila mtu ndiyo maana akajikuta amejirekodi na kuutupia katika Mtandao wa Instagram bila kujali kwamba walishamwagana.

Alipotafutwa Madam kuhusiana na ishu hiyo, alisema amejirekodi video hiyo kwani ameikubali na amekuwa akipenda sana nyimbo za Diamond hata kabla hawajawa na uhusiano na isitafsiriwe kwamba anataka kurejesha majeshi.

“Nilipenda nyimbo zake hata kabla hatujawa kwenye uhusiano na mimi nitaendelea kuwa shabiki wa nyimbo zake siku zote, mapenzi yalishakufa,” alisema Madam.



WAJIBU WA MWANAMKE KUNUSUSRU USALITI KATIKA NDOA>>> FANYA YAFUATAYO

 the resiponsibilty of waman to avoid betray in marriage


 

Mungu ameagiza enyi wake watiini waume zenu ili nao waoneshe upendo kwenu. ndugu zangu wanawake na kinamama napenda kusema kwamba wanaume mkiwaonesha utii huwa hawana akili katika mapenzi hujiona wao wamefika na kujikuta wanaonesha upendo wa ajabu sana, na hii hulinda ndoa yako na kuifanya iwe imara, tatizo kuna baadhi ya wananwake si watiifu kwa waume zao na kujikuta wakilaumu kila mara kusalitiwa kumbe chanzo ni wao wenyewe.
                                                                         

                                                                             
YAFAHAMU MAMBO MUHUMU AMBAYO MWANAMKE HUHITAJI KUTOKA KWA MWANAUME

YAFAHAMU MAMBO MUHUMU AMBAYO MWANAMKE HUHITAJI KUTOKA KWA MWANAUME


  • wanawake huhitaji mwanaume anayesikiliza zaidi kuliko kutoa jibu tu.
    Wanawake wanahitaji mwanaume anayemuhitaji.
    Mwanamke anahitaji mwanaume ambaye si rafiki wa watoto tu bali ni mtu anayelinda nidhamu ya watoto.
    Wanawake wanahitaji mwanaume anayewaamini hata kama ana wivu.

    Wanawake wanahitaji mwanaume

WHAT IS CONNECTION BETWEEN LOVE AND HEART>>IS IT TRUE THAT LOVE IS WITHIN THE HEART OF SOME ONE?

I'm just asking the following questions always
  • Does the  love of someone stays in the heart?
  • Biologically the function of heart is to pump the blood now how heart is involved in love?
  • suppose the heart transpiration is done from one person to another does this affect the way of loving to some one?
  • Why when someone loose his/her lover   they become in thinking situation >that brain is involved and not heart?
  • How sometimes happen some love two or more people> if so what is cabability of   heart in loving?
  • Others  they argues that  i give all my heart to you >how it is possible to give some all heart and you still alive?
  • The following are some of  quote
                                            








JE UNATATIZO LA NGUVU ZA KIUME?>>> FAHAMU VYAKULA VINAVYO ONGEZA NGUVU ZA KIUME WAKATI WATENDO LA NDOA

 JE UNATATIZO LA NGUVU ZA KIUME?>>> FAHAMU VYAKULA VINAVYO ONGEZA NGUVU ZA KIUME WAKATI WATENDO LA NDOA
 Tatizo  upungufu wa nguvu za kiume ni sugu na limekuwa  ni shida miongongi mwa wanaume wengi. japo kuwa kuna baadhi ya vijana/wanaume hawajitokezi hadharani ila wamekuwa  wakiuliza maswali mengi sana kwa siri. ikumbukwe kuwa ndoa nying zimevunjika na zingine kupoteza mahusiano ya karibu baina ya wapenzi na pia kuongezeka kwa tatizo la USALITI KATIKA MAPENZI.
   wengi wamekuwa wakijiuliza kuwa tatizo hili husababishwa na nini?hapa nitataja kwa ufupi:

ZIJUE SABABU 7 ZA USALITI KATIKA MAPENZI (NDOA) ILI TUPUUNGUZE USALITI

Tatizo la usaliti limekuwa ni kubwa sana katika mapenzi. wengi wamekuwa wakilalamika kuhisi kusalitiwa na wapenzi wao.zamani wanaume ndio walikuwa wakiongiza katika usaliti kwa wake zao ,lakini utafiti wa hivi karibuni unaonesha kuwa  nao wanawake wamekuwa wasaliti katika ndoa zao Na hii ndio sababu iliyonifanya niandike sababu za usaliti katika mapenzi
DUU! WADADA WAZURI LAKINI VITENDO WANAVYOFANYA HAVI

DUU! WADADA WAZURI LAKINI VITENDO WANAVYOFANYA HAVI

 It is amazing that  up to now   people with the same sex engage in doing >>,<
 INGAWA BAADHI YA MATAIFA MENGINE YAMEHALALISHA MAPENZI YA JINSIA MOJA. TUZIDI KUOMBA KWETU HILI LISIHALALISHWE. INGAWA WENGINE WANAONA NI HALALI LAKINI KWA MTAZAMO WANGU NAONA HILI HALIKUBALIKI HATA KIDOGO.
HAYA SASA  ONA HAWA WAKINA DADA NAO WANAONA NI SAWA  NA WAKO HURU TU. WHY THIS>.> YAANI  BASI TUU IVI WANAUME WAMEISHA  HIVI HILI HADI LINI?

TAZAMA VIDEO HII UONE TABIA HII ISIYOKUBALIWA>>>>>

                        WHY THIS IT IS NOT GOD AT ALL
 REAL I HAVE PROVED: MAPENZI YA KIBONGO SI SAWA NA  WADHUNGU>MAPENZI YANAHITAJI USAFI (CLEANLINESS),UBUNIFU NA UTULIVU>>> JIONEE MWENYEWE TOFAUTI HIZI:

REAL I HAVE PROVED: MAPENZI YA KIBONGO SI SAWA NA WADHUNGU>MAPENZI YANAHITAJI USAFI (CLEANLINESS),UBUNIFU NA UTULIVU>>> JIONEE MWENYEWE TOFAUTI HIZI:

REAL I HAVE PROVED: MAPENZI YA KIBONGO SI SAWA NA  WADHUNGU>MAPENZI YANAHITAJI USAFI (CLEANLINESS),UBUNIFU NA UTULIVU>>> JIONEE MWENYEWE TOFAUTI HIZI:

BONYEZA VIDEO HIZI HAPI CHINI NDO UTAELEWA: WARNING> FOR MARRIAGE ONLY

 FIRST VIDEO:>>>>.>
                       Haya hii ndo style ya baadhi ya wabongo 
                                 

second video:>>>.>

         THIS IS FOR WHITE PEOPLE REAL THERE IS A WIDE   GAP:
 This different some times is caused due to lack of  sex education; also some of people they engage to early before the time of marriage

THIS IS FANTASTIC>>>> MWANAMKE MWENYE MATITI MATATU AFANYA UFUSKA>>>

THIS IS FANTASTIC>>>> MWANAMKE MWENYE MATITI MATATU AFANYA UFUSKA>>>

THIS IS FANTASTIC>>>> MWANAMKE MWENYE MATITI MATATU AFANYA UFUSKA>>>
  KILE KILICHOBISHWA SANA KUWA MWANAMKE MWENYE MATITI 3 KUWA YUPO KIMAOSHESHO  NA SI KUJIUZA KIMEBAINIKA

TAZAMA VIDEO YAKE HAPA CHINI:>>>.....>.> ANGALIZO USITAMANI>>

                                      WATCH IT OUT CLICK ABOVE TO SEE IT

How to retain virginity? NATAMANI KUFANYA MAPENZI ILA SIJAWAHI

NATAMANI KUFANYA MAPENZI  ILA SIJAWAHI .>>>>.> jamani ....

Yapata miaka 9 sasa tangu nivunje ungo wengi wanasimulia raha ya mapenzi lakini kwangu ni kama giza 




Ingawa natamani sana kufanya mapenzi ila naogopa kwa kuwa sijawahi jaribu hata siku moja
 naogopa sana kwani kuna watu wanasema nitapatwa na maumivu makali
nipeni ushauri jamani .

Kategori

Kategori