December 9, 2015
Hii ndio Top 5 ya wachezaji wanaongoza kwa kuoneshwa kadi nyingi katika historia ya Ligi ya
.
Gennaro Gattuso
4- Carles Puyol ni miongoni mwa mabeki wa kati wachache wenye uwezo wa kumudu nafasi zao uwanjani kwa kufasaha, lakini katika suala la kuoneshwa kadi na marefa yeye ameoneshwa jumla ya kadi 25 katika michuano ya klabu Bingwa Ulaya, kadi ambazo ameoneshwa akiwa na klabu ya FC Barcelona.
Carles Puyol
3- Licha ya kuwa mshikaji wake Pepehayupo katika hii list Sergio Ramosanamuwakilisha staa huyo kwa kuoneshwa jumla ya kadi 26 akiwa katika vilabu vya Sevilla na Real Madrid.
Sergio Ramos
2- Xabi Alonso ni kiungo wa kimataifa wa Hispania ambaye kwa sasa anakipiga katika klabu ya FC Bayern Munich ya Ujerumani, Alonso yupo nafasi ya pili katika list ya wachezaji walioneshwa kadi nyingi zaidi katika historia ya Ligi ya Mabingwa Ulaya,Alonso ameoneshwa jumla ya kadi 27, kadi ambazo amezipata akiwa katika vilabu vya Real Sociedad, Liverpool,Real Madrid na sasa FC Bayern Munich.
Alonso
1- Paul Scholes kiungo wa zamani waMan United ambaye kwa sasa amestaafu soka, licha ya kuwa amestaafu soka Paul Scholes rekodi yake ya kuoneshwa kadi nyingi bado haijavunjwa, kwani ameoneshwa jumla ya kadi 32 akiwa katika klabu ya Man United, lakini Scholes ndio mchezaji pekee ambaye anaongoza kwa tofauti kubwa kutoka mtu anayemfuatia kwani anapishana na Alonso kwa tofauti ya kadi 5.
EmoticonEmoticon