Tatizo la usaliti limekuwa ni kubwa sana katika mapenzi. wengi wamekuwa wakilalamika kuhisi kusalitiwa na wapenzi wao.zamani wanaume ndio walikuwa wakiongiza katika usaliti kwa wake zao ,lakini utafiti wa hivi karibuni unaonesha kuwa nao wanawake wamekuwa wasaliti katika ndoa zao Na hii ndio sababu iliyonifanya niandike sababu za usaliti katika mapenzi
AFISA WA CHUO ASIMAMISHWA KAZI>>Kofia ya Mugabe yamponza afisa wa chuo
Afisa mmoja katika Chuo Kikuu cha
Zimbabwe amesimamishwa kazi baada yake kudaiwa kumpa Rais Robert Mugabe
kofia isiyomtosha vyema wakati wa sherehe ya kufuzu kwa wanafunzi.
Msajili
msaidizi Ngaatendwe Takawira aliwaaibisha wasimamizi wa chuo kwa kumpa
kiongozi huyo mwenye umri wa miaka 92 kofia ndogo sana, barua yake ya
kusimamishwa kazi inasema,
Subscribe to:
Posts (Atom)