Kazi ya kwanza ya Mbunge Prof. Jay ndani ya siku 20 baada ya kuapishwa Bungeni Dodoma..
Professor Jay
ni mwana Hiphop kitambo sana hapa Tanzania, lakini jina lake lina uzito
wake wa nguvu kabisa kiasi cha kwamba watoto, vijana, wazee na watu
wazima walilifahamu jina lake… lakini 2015 inamalizika huku akiwa na
kofia nyingine kichwani, ni kofia ya Ubunge wa Jimbo la Mikumi Morogoro a.k.a Mji kasoro bahari !!
Prof. Jay kaanza kazi na kathibitisha kwamba