MSANII
WA BONGO JOSEPH HAULE MAARUFU KWA JINA 'PROFESA JAY' KUTINGA BUNGENI>>>
- msanii wa bongo joseph haule a .k.a 'profesa jay' ndiye msanii wa hivi karibuni kuwahi kushinda kiti cha ubunge nchini tanzania msanii huyo amemshinda mpinzani wake.wa chama cha mapinduzi ccm, jonas nkya aliyepata kura30,425
- profesa jay ambaye alikuwa akiwania kiti hicho kwa tiketi ya chama cha chadema
Kutoka ukurasa wake wa facebook aandika hivi
JIMBO LA MIKUMI...
JOSEPH HAULE (CHADEMA) Kura 32259, Jonas NKYA (CCM) Kura 30425
Tumeshinda kwa tofauti ya kura 1834
ASANTE SANA MUNGU ASANTENI SANA Wana Mikumi wenzangu kwa kuniamini!!!
JOSEPH HAULE (CHADEMA) Kura 32259, Jonas NKYA (CCM) Kura 30425
Tumeshinda kwa tofauti ya kura 1834
ASANTE SANA MUNGU ASANTENI SANA Wana Mikumi wenzangu kwa kuniamini!!!
JOSEPH HAULE AKIWA NA JOSEPH MBILINYI |