wanawake huhitaji mwanaume anayesikiliza zaidi kuliko kutoa jibu tu.
Wanawake wanahitaji mwanaume anayemuhitaji.
Mwanamke anahitaji mwanaume ambaye si rafiki wa watoto tu bali ni mtu anayelinda nidhamu ya watoto.
Wanawake wanahitaji mwanaume anayewaamini hata kama ana wivu.
Wanawake wanahitaji mwanaume anayewapa uhuru
Wanawake wanahitaji mwanaume anayetambua mambo muhimu madogo anayofanya.U
Mwanamke huhitaji mwanaume anayefanya vitu anavyovipenda
Mwanamke anahitaji mwenzi siyo Baba.
Mwanamke anahitaji mwanaume ambaye hamlinganishi na mama yake.
Mwanamke anahitaji mwanaume hot kwenye sex piaWanawake pia wanahitaji tendo la ndoa linalowaridhisha na kuwafikisha pale wanahitaji.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
EmoticonEmoticon