Na mwandishi wetu:Jack Kitivo
kwa jinsi kampeni mwaka huu zilivyo nilazima tuombee taifa tazama.......

duuuuu ukawa imetishaa |
Ikiwa zimebaki siku chache kuelekea uchaguzi mkuu wa Raising,wabunge na madiwani basi kila mmoja kwa mda wake na imani take spate muda wa kuombea uchaguzi ili tuwapate viongozi watakao tuongoza katika misingi ya haki na utawala bora . kwa kuwa tumesikia Sera za wagombea ni wakati sasa wa kufanya maamuzi sahihi.usidanganywe wala kushawishiwa na MTU kumchagua kiongozi kwa matakwa yake,au maslahi yake binafsi.waswahili wanasema "KIPENDA ROHO HULA NYAMA MBICHI"
kwa pamoja tushirikiane kutii sharia za uchaguzi kwani tukumbuke kuwa sheria ni msumeno hukata huku na huku huku.
Pia ndugu zangu tukumbuke kuwa baada ya uchaguzi maisha yanaendelea chonde sitapenda kuona wengine wanasherekea ushindi wa wagombea wao na we we unaandamwa na kesi ya kujibu. Tii sheria bila shuruti. To get her we can .let us pray for this election. Iwish all the best in this unique oppatunity to elect ( to vote) for our leader this is the best way of practicing the real democracy.
NB usimzuie mwenzio kwenda kupiga kura wala usimtishie kwani kupiga kura kwa MTU mwenye sifa ni haki yake ya kikatiba.

MUNGU IBARIKI TANZANIA
MUNGU BARIKI UCHAGIZI MKUU
MUNGU BARIKI UCHAGIZI MKUU