WASTARA KUKATWA MGUU TENA!
MASKINI wa Mungu! Baada ya kupata faraja kwa miaka kadhaa kwa kuwekewa mguu wa bandia, mwigizaji wa sinema za Kibongo, Wastara Juma, amepatwa na masaibu mengine ya kutakiwa kukatwa tena sehemu ya mguu uliokuwa umewekewa mguu wa bandia, Risasi Jumamosi lina stori nzima ya kusikitisha.
Wastara Juma akiwa na magongo EE MUNGU MSADIE NA WOTE WENYE MAPENZI MEMA
Mwigizaji wa sinema za Kibongo, Wastara Juma.
ATESEKA USIKU
“Alikuwa hapati usingizi usiku, ilibidi awe anakunywa dawa za kutuliza maumivu kila siku ndiyo aendelee na safari za kampeni kesho yake,” alisema ndugu huyo wa karibu wa Wastara.
AWASAKA MADAKTARI WAKE
Ndugu huyo alizidi kueleza kuwa, baada ya Wastara kumaliza kampeni, aliwasiliana na madaktari wake waliomtibu awali nchini Kenya ambao walimshauri awatumie picha ya eneo alilokuwa akisikia maumivu pamoja na mguu mzima wa baindia.
Madaktari hao baada ya kubaini mguu