Huyu ndooo msaniii wa kike pekee aliye sma hatapenda kushiriki masuala ya siasa ingawa haki yake ya kupiga kura ataitumia ipasavyo. lengo lake ni kutotaka kuwachanganya mashabiki wake. hata hivyo alisema kuwa kwa wasanii wanaofanya hivyo sio vibaya. ALICHO AMUA NI MTAZAMO WAKE KWA MASHABIKI.
HEBU
CHECK PICHA MBALIMBALI :BONYEZA HAPA NAWE UONE IPI
ILIKUBAMBA>>>>>>>>>INAKUBAMBA>>>>>
ITAKUKUBAMBA!!
Madhumuni ya
picha hizi ni kukupa taarifa kusumu hot news of the wiki .it is possible kwamba
ulishaziona ila kama hukupata kuziona ni wakati wako nawe wa kushare hizi picha
na marafic zako
sisi kama
perfect team tumekufikia hapooo ulipo kwenye simu yako ya kinganjani.