Showing posts with label DINI. Show all posts
Showing posts with label DINI. Show all posts
Papa Francis kutua kenya na ujumbe wa amani
Papa kutua Kenya Kesho.
Nairobi, Kenya. Kiongozi wa Kanisa Katoliki Papa Francis amesema kwamba kesho akiwa Kenya atatoa ujumbe wa amani.
Kiongozi huyo Katika taarifa aliyoituma juzi, alitoa wito kwa
waandaaji wa ziara yake wakumbuke kuomba ili
MHUBIRI MAARUFU DUNIA TB JOSHUA KUTOKA NIGERIA AWASILI TANZANIA>> KUSHUHUDIA KUAPISHWA KWA MH. JOHN POMBE MAGUFULI
Mhubiri
maarufu duniani TB Joshua wa kanisa la Church of All Nations nchini
Nigeria ametua jijini Dar es salaam tayari kwa kushuhudia
kuapishwa kwa Rais wa Awamu ya Tano Dkt. John Pombe Magufuli siku ya
Alhamisi.Novemba 5,2015
Mara
tu baada ya kutua uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, TB
Joshua alikwenda
Subscribe to:
Posts (Atom)