the resiponsibilty of waman to avoid betray in marriage
Mungu
ameagiza enyi wake watiini waume zenu ili nao waoneshe upendo kwenu.
ndugu zangu wanawake na kinamama napenda kusema kwamba wanaume
mkiwaonesha utii huwa hawana akili katika mapenzi hujiona wao wamefika
na kujikuta wanaonesha upendo wa ajabu sana, na hii hulinda ndoa yako na
kuifanya iwe imara, tatizo kuna baadhi ya wananwake si watiifu kwa
waume zao na kujikuta wakilaumu kila mara kusalitiwa kumbe chanzo ni wao
wenyewe.