Magufuli atangazwa mshindi uchaguzi wa urais Tanzania
Mgombea wa urais kupitia
tiketi ya chama cha
CCM John Pombe Magufuli ndiye rais mteule
wa taifa
la Tanzania baada ya kushinda
uchaguzi mkuu uliokamilika.
Akitoa
matokeo hayo Mwenyekiti wa tume
hiyo jaji mstaafu Damian Lubuva amesema
kuwa Magufuli alijipatia kura milioni 8,802,935
ikiwa ni aslimia 58.46
huku mpinzani wake wa
karibu Edward Lowassa wa chama cha Chadema
akijipatia kura milioni 6,072,848 ikiwa ni aslimia 39.97.
Haya ndiyo matokeo kamili kama yalivyotangazwa
na mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi
Tanzania Jaji Mstaafu Damian Lubuva: