Jamani chuchu akataliwa kwa  Akina  Ray

Jamani chuchu akataliwa kwa Akina Ray

CHUCHU AKATALIWA KWA AKINA RAY

Yamemkuta! Staa wa sinema za Kibongo, Chuchu Hans anadaiwa kukataliwa na baadhi ya ndugu wa mwandani wake, Vincent Kigosi ‘Ray’ hivyo kuzidi kufifia kwa penzi lao.

Staa wa sinema za Kibongo, Vincent Kigosi ‘Ray’ akiwa na mpenzi wake Chuchu Hans.

Kwa mujibu wa mmoja wa mashosti wa Chuchu, kwa sasa mwanamama huyo yupo kwenye kipindi kigumu kwa sababu ndugu wa Ray (kaka na dada) hawamkubali kwa sababu wanazozijua wao ikiwemo kigezo cha dini.

Alipotafutwa Chuchu juu ya madai hayo alifunguka: “Naomba muachane na hayo mambo, yanazidi kunipa wakati mgumu, tayari nina matatizo na ndugu wa upande wa Ray.”

Source;Global

JE WAJUA FAIDA ZA MATITI WAKATI WA TENDO LA NDOA? HII SI YA KUKOSA >>> PATA RAHA ZIADI

Kazi ya matiti:
Hapa nitaongelea umuhimu wa matiti mbali na kuwa  ndio yanayoyoa chakula bora kwa mtoto wakati wa kunyonyesha.




Hapa najikita kueleza umuhimu wa matiti  katika tendo zima la ndoa(mapenzi)
CHUCHU za matiti ya mwanamke ni sehemu sensitive wakati wa tendo la ndoa na kama mwanaume akichezea sawasawa  hizi chuchu  humfanya
YAFAHAMU MAMBO MUHUMU AMBAYO MWANAMKE HUHITAJI KUTOKA KWA MWANAUME

YAFAHAMU MAMBO MUHUMU AMBAYO MWANAMKE HUHITAJI KUTOKA KWA MWANAUME


  • wanawake huhitaji mwanaume anayesikiliza zaidi kuliko kutoa jibu tu.
    Wanawake wanahitaji mwanaume anayemuhitaji.
    Mwanamke anahitaji mwanaume ambaye si rafiki wa watoto tu bali ni mtu anayelinda nidhamu ya watoto.
    Wanawake wanahitaji mwanaume anayewaamini hata kama ana wivu.

    Wanawake wanahitaji mwanaume

Kategori

Kategori