JIFUNZE JINSI YA KUPANGILIA MAVAZI WEWE NA MPENZI WAKO!
GARI LA MAFUTA LATEKETEA KWA MOTO ENEO LA MAHENJE – MBOZI :
Habari za mashuda zinasema moto
huo umetokea majira ya saa kumi jioni ,
na chanzo halisi mpaka sasa hakijajulikana .ingawa jitihada za dereva wa gari
hilio za kujaribu kuuzima moto huo kwa kutumia mtungi wa gesi (fire
extinguisher) hazikuzaa matunda kutokana na kuzidiwa kwa moto huo.
Subscribe to:
Posts (Atom)