Tanzania imeingia kwenye headlines katika vyombo vya habari mbalimbali baada ya kupata rais wa awamu ya tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dk. John Pombe Magufuli aliyeapishwa leo kwenye uwanja wa Taifa
Katika sherehe hizo za kuapishwa kwa rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Marais kutoka nchi mbalimbali walidhuhuria akiwemo,Jacob Zuma, Robert Mugabe, Kenyatta, Paul Kagame, Yoweri Museven
.
Dk.Magufuli wakati akila kiapo
Bendera ya awamu ya tano wakati ikipandishwa
.
Rais anayemaliza muda wake Jakaya Kikwete akikagua gwaride kwa mara ya mwisho
.
Dk.Magufuli akisaini hati ya kiapo
.
.