PICHA MUHIMI ZA KUAPISHWA KWA DK.J.P.MAGUFULI


Tanzania imeingia kwenye headlines katika vyombo vya habari mbalimbali baada ya kupata rais wa awamu ya tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dk. John Pombe Magufuli aliyeapishwa leo kwenye uwanja wa Taifa
Katika sherehe hizo za kuapishwa kwa rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Marais kutoka nchi mbalimbali walidhuhuria akiwemo,Jacob Zuma, Robert Mugabe, Kenyatta, Paul KagameYoweri Museven






                                                                       



.
Dk.Magufuli wakati akila kiapo

Bendera ya awamu ya tano wakati ikipandishwa

.
Rais anayemaliza muda wake Jakaya Kikwete akikagua gwaride kwa mara ya mwisho

.
Dk.Magufuli akisaini hati ya kiapo

.
.

Dk.Magufuli akikagua Gwaride kwa mara ya kwanza

Marais wa nchi mbalimbali wakiwa na mwenyeji wao Jakaya Kikwete

Kikundi cha ngoma kikitoa burudani kwa wageni waalikwa

Kutoka kushoto ni makamu wa Rais mstaafu Gharib Bilal, Rais wa RwandaPaul Kagame, Yoweri Museven, Robert Mugabe na Jakaya Kikwete.

.
Dk.Magufuli akisalimiana na mamaSalma Kikwete

.
.
Wageni waalikwa

.
.


EmoticonEmoticon