kuongoza
jimbo hilo kwa kuwa ewezo huo anao
Na aliwata wananchi wamchague kwa kuwa
ahadi alizo ahidi mwaka
2010 amezikamlisha
kwa kuleta chacu ya mabadiliko katika secta
ya elimu ,na
afya na hasa kuwatetea wananchi
katika shughuli zao za kila siku .aliwataja
MACHINGA NA MAMANTIILE kuwa
kwa
utaratibu aliouweka wameweza
kufanya biashara zao kwa uhuru na amani.
Na mwisho
aliwaomba kumchagua ndugu
EDWARD
LOWASA Kuwa raisi wa jamhuri
ya
muungano wa Tanzania. Pia alisistiza
kumchagua diwani wa kat a hiyo NDUGU
HAMPHREY
KUONA PICHA BONYEZA HAPA
PICHA BONYEZA HAPA CHINI >>>>>>>
BAADHI YA WATU WAKIWA WANAMSIKLIZA KWA MBALI KUTOKANA NA WATU KUWA WENGI ENEO LA TUKIO |
Gari ya mheshimiwa SUGU |
EmoticonEmoticon