Maandalizi ya uwanja atakapoapishwa MH.John.PMagufuli

Maandalizi ya uwanja atakapoapishwa MH.John.PMagufuli
Historia ya siasa Tanzania kwenye headlines za Uchaguzi Mkuu 2015ilikuwa ni lazima ikamilishwe kwa matukio kadhaa, kati ya hayo liko tukio la kupatikana Wagombea viti vya Udiwani,
Ubunge na pia kupatikana kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
November 05 2015 itakuwa siku  ya  kuapishwa  Rais mteule wa awamu ya tano kushika nafasi ya Rais Jakaya  mrisho Kikwete anayemaliza muda wake kwa mujibu wa katiba ya Tanzndani ya Uwanja wa Uhuru,

.
Katikati ya Uwanja kuna jukwaa lenye red carpet ambapo Rais mteule ataapishwa.
Kwenye fensi ya Uwanja zinaonekana bendera za TZ zikiwa zinapepea.
Huu ni muonekano wa pembeni ya geti la kuingilia Uwanjani.
Hapa ni Jukwaa Kuu, Viongozi wakuu wa TZ pamoja na wageni wengine waalikwa kama Mabalozi, Marais wa nchi nyingine walioalikwa na wengineo watakaa kushuhudia tukio zima la kuapishwa Dk. John Magufuli.


EmoticonEmoticon