HOGERA ZIMFIKIE Msanii wa muziki Bongo(BONGO FLAVA)
AY Ambwene Yesaya
KWA KUFUNGA ndoa leo na mpenzi wake pia wasanii wengine maarufu na mastaa mablimbali
kama vile:- Mwana FA, Lady Jaydee,Salama Jabir, Profesa Jay (Joseph
Haule), Fid Q walikuwepo kumpa support
EmoticonEmoticon