Mwenyezi Mungu tunaomba utujalie moyo Wa uvumilivu katika kipindi hiki cha majonzi kwa kuwapoteza wenzetu katika ajali ya kivuko huko mwanza
Ameni.
BADO UNATATIZO LA NGUVU ZA KIUME, AU NI MPENZI WAKO,AU NI NDUGU YAKO BASI SOMA MAKALA HIII
Jua tatizo la nguvu za kiume
Leo katika zama hizi za sayansi na teknolojia tatizo la kupungua nguvu za kiume limekuwa kubwa sana, siyo Tanzania tu, bali duniani kote. Jambo muhimu analopaswa mwanaume yeyote kufahamu ni kwamba, kupungua nguvu za kiume siyo ugonjwa, ni dalili ya ugonjwa. Hii ina maana kuna dosari au udhaifu wa kiutendaji ndani ya mwili wake.
Kuna sababu zaidi ya 200 zinazosababisha mwanaume apungue nguvu za kiume. Mtu aweza kujiuliza kwa nini kuwe na sababu nyingi namna hiyo?
Nguvu za kiume ni nini?
Nguvu za kiume ni jina la jumla lenye vipengele vingi ndani yake ikiwa ni pamoja na
HONGERA KWA AY KWA UAMUZI WA KUFUNGA NDOA
HOGERA ZIMFIKIE Msanii wa muziki Bongo(BONGO FLAVA)
Subscribe to:
Posts (Atom)